Msami vipi kwani mp4 download






















Kwamba anaweza kutimuliwa kazi na kumkosa Vivian ambaye alikuwa amemuonjesha penzi tamu kuwahi kupewa tangu aanze kujihusisha na masuala hayo. Wakati Bigambo akiwazua hayo, ghafla simu yake iliita na alipoitazama kwenye kioo, ilikuwa namba ngeni na akaipokea harakaharaka na kuiweka sikioni huku akisikilizia ni nani alikuwa amempigia na alikuwa na ishu gani.

Mpigaji wa simu ile alikuwa Vivian, aliamua kumpigia kwa namba ngeni akiwa na maana kubwa sana. Ayaa kwa nini Vivian? Yeye amekuambiaje? Maneno ya Vivian yalikuwa yamemuondoa kabisa kwenye mudi ya kufanya chochote. Alichokifanya ni kuzungumza na mmoja wa viongozi wake na kumuomba ruhusa ya kwenda nyumbani kupumzika akisingizia kichwa kinamuuma ingawa ukweli ni kwamba alikuwa na msongo mkubwa wa mawazo.

Tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi, hakuwahi kufikishwa kwa kiongozi wake wa kazi hata kabla ya kuanza kufanya kazi hapo. Aliifikiria aibu atakayokumbana nayo pale ofisini endapo suala la kuitwa kwa meneja litawafikia wafanyakazi wenzake. Bigambo aliondoka akiwa na mawazo mengi kichwani mwake. Hakujua ataishije bila Vivian licha ya kwamba walikuwa na muda mfupi sana tangu wafahamiane na kupeana penzi mara moja, lakini mahaba ya mwanamke huyo kutoka Tanga yalimkolea sana kijana wa watu.

Alilala hadi mchana ambapo aliwasha simu yake aliyokuwa ameizima tangu afike nyumbani. Meseji zilianza kumiminika moja baada ya nyingine kutoka kwenye mtandao ukimjulisha namba ambazo zilikuwa zimempigia akiwa amezima simu, namba ya Vivian ilikuwa miongoni mwa namba hizo.

Anataka kuniambia nini zaidi ya kuniumiza zaidi? Ngoja nimpigie nisikie tena anachotaka kuniambia lakini kama ni yaleyale ya kusisitiza kwamba ameachana na mimi sitampa nafasi ya kumsikiliza, sitaki maumivu tena nikiwa najiandaa kumrejesha, Bigambo aliwaza moyoni na kumpigia Vivian ambapo alikuta namba ikiwa inatumika, hivyo alilazimika kusubiri kwa muda.

Aliagiza chakula na wakati ananawa, simu yake iliita na alipoitazama aliona jina la My Vivian, kama alivyokuwa amelihifadhi kwenye orodha ya majina yake ya simu. Moyo ulimlipuka na kujikaza kiume ambapo aliipokea simu kwa nidhamu zote akijiandaa kusikia lolote kutoka kwa mwanamke huyo mrembo.

Huyu demu kiboko aisee, mbona hii ni ajabu sana? Dakika 45 baadaye, simu ya Bigambo iliita tena na alipoitazama mpigaji alikuwa ni Vivian, akatabasamu na kuipokea haraka sana. Vivian alitembea kwa haraka, moyoni akiwa na shauku ya kumuona tena Bigambo. Nafsi ilikiri kabisa kwamba alimpenda mno mwanaume huyo, ingawa walikuwa na muda mfupi tangu wakutane.

Muda mfupi alifika na kumfahamisha Bigambo ambaye alifika na kumchukua hadi nyumbani kwake. Ili kutoonekana goigoi au mshamba wa mambo hayo, Bigambo naye alianza kujibu mashambulizi kwa Vivian. Alipeleka mkono wa kulia shavuni kwa Vivian na kuanza kupapasa taratibu lakini hakuishia hapo na badala yake alihamishia kiganja shingoni na kuwa kama anacharaza gitaa, kufikia hapo Vivian akaanza kufumba na kufumbua macho kwa tabu kama anayenyemelewa na usingizi mzito.

Ilifika mahali mpambano ulikolea na kwa pamoja wakajikuta wakiwa hoi na kilichoendelea kilimtosha kila mmoja wao. Mtanange aliouonesha Bigambo kwa Vivian haukuwa wa nchi hii. Alifanya kwa makusudi ili arejeshe adabu na kweli alifanikiwa kwani alifanya kwa kiwango ambacho hata yeye alishangaa mno.

Baadaye walipitiwa na usingizi mzito ambapo walishtuka ikiwa ni saa mbili kasoro dakika kadhaa usiku. Bigambo akitarajia baada ya kukurupuka, Vivian angeanza harakati za kuondoka, lakini ndiyo kwanza mama wa watu akaendelea kujilaza huku akijibaraguza kwa maneno yasiyokuwa na msingi wowote.

Kabla Bigambo hajajibu chochote, ilisikika sauti ya jirani wao ikimuita Bigambo. Je, ni wifi gani tena huyo? Usikose kufuatilia siku ya Jumamosi kwenye Gazeti la Risasi. Ilibidi kila kitu kifanyike harakaharaka kama Shamila alivyotuambia. Kwa bahati nzuri tulifanikiwa kutoka salama, tukafunga milango yote na kuiacha funguo mahali alipokuwa ametuelekeza Shamila. Kwa kuwa bado ilikuwa ni asubuhi, hakukuwa na foleni sana barabarani, safari ya kuelekea Kimara Temboni ikaanza.

Ilibidi nimuombe Raya simu yake kwa ajili ya kumpigia yule mtu ambaye Shamila aliniambia kwamba ni ndugu yake ambaye ndiye angeenda kutupokea na kutupa hifadhi. Namshukuru Mungu kwamba nilivyopiga mara moja tu, alipokea, tukazungumza na kuelewana. Nikawa namuelekeza Firyaal kama na mimi nilivyoelekezwa na yule mwenyeji wetu, kwa bahati nzuri tulipofika Kimara Temboni tu, mwanamke wa makamo, mweupe na mnene kiasi, alitupokea.

Yeye alikuwa amepanda bodaboda, akatonesha ishara kwamba tumfuate, Firyaal ambaye alikuwa na uzoefu wa kutosha wa kuendesha gari, akawa anamfuata.

Kwa kuwa kiumri alikua mkubwa kwetu, sote tulimuamkia kwa heshima, akamwambia Firyaal inabidi aliingize gari ndani ya geti kwa usalama zaidi. Akatufungulia geti na muda mfupi baadaye, tayari tulikuwa ndani, tukasaidiana kumshusha Shenaiza mpaka ndani, akatukaribisha na kututaka kuwa makini kwa muda wote ambao tutakuwa pale nyumbani kwake.

Kwa kuwa nyumba ilikuwa kubwa, alitupangia kila mmoja chumba chake na kutuambia tutakaa hapo mpaka mambo yatakapotulia. Ilionesha kwamba mwanamke yule anajimudu sana kimaisha kwa jinsi mazingira ya pale nyumbani kwake yalivyokuwa. Muda ulizidi kuyoyoma huku nikiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua nini kitatokea kwa Shamila kwani kama ni matatizo, basi tulikuwa tumemsababishia makubwa sana.

Akatuambia kwamba kwa kawaida, binadamu tuna nguvu kubwa zisizoonekaa kwa macho, ambazo kama zikitumiwa vizuri zinaweza kutoa matokeo makubwa. Akasema jukumu la kwanza ambalo tulitakiwa kulifanya kwa muda huo, ilikuwa ni kumkomboa Shamila kutoka kwenye mkono wa sheria, sikumuelewa kabisa alichokuwa anamaanisha, ikabidi nimuulize. Akaniambia kwamba tunatakiwa wote tukae na kutulia katika mkao ambao kila mmoja wetu ataruhusu nguvu aliyonayo itumike kwa ajili ya kazi iliyokuwa mbele yetu, bado sikumuelewa zaidi ya kuona kama ananichanganya kichwa.

Hamjawahi kusikia au kuona mtu anajitazama mwili wake mwenyewe akiwa nje ya mwili huo? Kilichofanya nishtuke ni kwamba kile alichokuwa akikizungumza, mimi kilishawahi kunitokea lakini nilikuwa sijui ni nini na inakuwaje. Nilikumbuka vizuri siku nilipovamiwa na wale watu ambao walinishambulia vibaya na kutaka kuyakatisha maisha yangu, muda huohuo nikaanza kuhisi kama napaa halafu nikawa nauona mwili wangu ukiwa umelala chini, damu nyingi zikitoka kwenye jeraha la kifuani. Nilikumbuka kila kitu ambacho kiliendelea kutokea na maruweruwe yote mpaka siku nilipokuja kuzinduka na kurejewa na fahamu zangu.

Tunaenda pamoja kweli? Akatuelekeza namna ya kukaa, wote tukakunja miguu na kuzunguka kama duara, akatuambia kila mmoja anatakiwa afumbe macho, ainue shingo yake na kupumua kwa uhuru kabisa huku akitutaka kutuliza akili zetu sehemu moja. Ndani ya dakika mbili tangu tukae mkao huo, kuna mambo ya ajabu yalianza kunitokea, mapigo ya moyo yakawa yanazidi kwenda mbio kuliko kawaida kutokana na kile nilichokuwa nakishuhudia.

Akapelekwa katika chumba ambacho alitakiwa kukaa kwa siku zote ambazo angesubiri safari ya kwenda nchini Marekani. Moyo wa Fareed ulikuwa na furaha tele, hakuamini kama kweli alikutana na familia ya watu waliokuwa na upendo mkubwa kama watu hao.

Baada ya kupokelewa tu akaanza kuongea na mtu aliyekuwa upande wa pili. Sasa huyo ndiye tutakayembebesha mabomu kwenda kulipua jijini New York katika kituo cha treni cha Pennsylvania. Haina shida, ataingia kama kawaida na hakuna ambaye atamshtukia, wasiliana na Hassan Bin Latif umpe maelekezo ya kumpokea mtu huyu na kumuelekeza ni kitu gani anatakiwa kufanya.

Hiyo ilikuwa taarifa iliyoishtua dunia, ilikuwa ni idadi kubwa ya watu kuliko milipuko yote ambayo iliwahi kutokea katika nchi za Ulaya. Watu walikuwa wakiendelea kujitoa mhanga, lilikuwa tukio baya la kujitoa mhanga ambalo lilitokea mwaka huo. Watu walilalamika, kundi la kigaidi la Al Qaeda lilijitokeza hadharani na kutangaza kwamba wao ndiyo walikuwa wamehusika katika mlipuko huo. Marekani ikachukia, kila siku ilijitahidi kupambana na ugaidi, magaidi walikamatwa na kupelekwa katika gereza lililojaa mateso la Guantanamo lakini ugaidi haukupungua.

Watu wengi, hasa vijana wa Kiarabu walikuwa wakikamatwa, walifundishwa kufanya matukio ya kigaidi huku akili zao zikijengwa kisaikolojia kwamba kuua katika ugaidi hakukuwa dhambi bali ni kuitetea dini.

Vijana wengi wa Kiarabu wakaingia katika mkumbo huo, waliahidiwa mambo mengi kwamba familia zao zisingepata shida tena na kama wangejitoa mhanga siku hiyohiyo wangekuwa peponi, pembeni ya mtume wakifarijiwa kwa kazi kubwa waliyoifanya duniani.

Hiyo ndiyo ilikuwa mbinu nyepesi ya kuwapata vijana wengi na wakafanikiwa hivyo kujitoa mhanga. Dunia ilionekana kubadilika, amani ikapotea, nchi nyingi za Ulaya zikawa na hofu na watu kutoka Mashariki ya Kati kwamba hawakuwa watu wa kuaminika na muda wowote ule wangeweza kufanya mauaji.

Kwa kipindi kirefu kundi hilo la kigaidi likatamani kulipua Marekani. Walikumbuka jinsi walivyotumia ndege mwaka , hawakutaka kuridhika hivyo kutamani kulipua tena kwani waliamini kwamba wanaonewa, walitaka kuyaondoa majeshi ya Marekani na Uingereza nchi mwao, kitu pekee kuonyesha kwamba walichukizwa na uwepo wao huko kilikuwa ni kuwalipua tu.

Hawakujua ni kwa jinsi gani wangeweza kuingia nchini Marekani. Waliwatumia watu wengi kwenda huko lakini ilishindikana, hata kabla hawajaingia nchini Marekani, walikamatwa na hivyo kufungwa katika gereza la Guantanamo. Walijiuliza ni sababu zipi ziliwafanya kukamatwa kirahisi namna hiyo na jibu pekee walilolipata ni kwa sababu waliwatumia Waarabu wenzao. Ili kuingiza bomu nchini Marekani ilitakiwa kumtumia Mzungu au mtu mweusi, hawakujua wangewapata vipi, kwa Wazungu ilikuwa vigumu sana lakini kwa watu weusi halikuonekana kuwa jambo gumu hata kidogo.

Wakakutana nchini Uturuki, nchi pekee barani Ulaya ambayo walikuwa wakikaa kwa usalama kwa kuwa watu wa nchi hiyo walikuwa Waarabu wenzao. Hapo ndipo walipopanga mipango, wakawafuata watu weusi waliotaka kuingia Marekani, waliwaambia kwamba walikuwa tayari kuwasaidia lakini walipowaambia kuhusu mabomu, waliogopa.

Walipoteza watu wengi, wakaweka vikao na kuona kwamba hawakutaka kuwaambia lengo la kuingia nchini Marekani bali walitakiwa kubaki kimya, wawape mizgo ya mabomu pasipo wao wenyewe kujua. Kitendo cha Fareed kupatikana kiliwapa uhakika kwamba mwanaume huyo angefanikiwa kuingiza mabomu nchini humo, mawasiliano yakafanyika na hivyo taarifa kupelekwa kwamba tayari kijana mmoja alikuwa amepatikana, kijana aliyekuwa na hamu ya kuingia nchini Marekani.

Hakuhisi kama watu hao walikuwa wabaya waliotaka kumbebesha mabomu mpaka nchini MArekani. Mzee Al Fakh alipokuwa akizungumza naye, aliongea kiupole mno kiasi kwamba wakati mwingine Fareed alihisi kwamba mzee huyo alikuwa malaika aliyejivisha mwili wa binadamu.

Akalala na siku iliyofuatia, Mustapha akafika nyumbani hapo ambapo akatambulishwa kwa Fareed na hivyo kumchukua tayari kwa kuondoka naye kuelekea sehemu na kupanga safari hiyo. Nyumbani kwa Mustapha akakutana na wanaume wengine wawili ambao hao nao walitakiwa kuondoka nao kuelekea nchini Marekani, vijana hao walikuwa weusi kama yeye, walikuwa wametoka nchini Senegal na wao walitamani kuingia nchini Marekani na kufanya mambo yao.

Siku hiyo wakasalimiana, wakazoeana na kulala pamoja. Usiku walizungumza mambo mengi, kila mmoja alimwambia mwenzake jinsi alivyosumbuka mpaka kufika nchini Uturuki. Kila mmoja alipitia msoto mkali mpaka kufika hapo. Kila walipoongea, waliwashukuru Waarabu hao, walionekana kuwa watu wazuri waliokuwa na lengo la kuwasaidia kufika nchini humo. Walikaa pamoja kwa siku mbili tu kisha wakachukuliwa na kupelekwa sehemu iliyokuwa na makontena mengi.

Wakaambia kwa sababu walitaka kuzamia nchini humo ilikuwa ni lazima waingie kupitia makontena hayo ambayo kwa ndani kulikuwa na kiyoyozi ambacho kingewafanya kuwa salama kipindi chote hicho.

Humo ndani, waliwekewa mabegi madogo ya mgongoni ambayo yalikuwa na vitu ndani, hawakujua kulikuwa na nini ila waliambiwa kwamba ile ilikuwa ni mizigo ambayo walitakiwa kuipeleka sehemu fulani ambapo huko wangekutana na mtu ambaye angewaambia ni nini cha kufanya. Kwa New York ambapo walitakiwa kwenda, waliambiwa kabisa kwamba safari yao ingekwenda mpaka katika kituo cha treni cha Pennsylvania kilichokuwa jijini New York, watakapofika hapo, kuna mtu angewafuata na kuzungumza nao kisha kuondoka zake.

Hilo halikuwa tatizo, walichokuwa wakikihitaji ni kufika nchini Marekani tu. Hawakupoteza muda safari ikaanza kuondoka hapo Uturuki kwenda nchini Marekani. Kwa usafiri wa meli hiyo, wangetumia mwezi mmoja njiani mpaka kufika huko. Hawakuwa na jinsi, hakukuwa na uwezekano wa kuwahi huko, ilikuwa ni lazima watumie mwezi mzima mpaka kufika nchini humo.

Hawakuwa na hofu, walichojua ni kwamba walikuwa katika mikono salama na kusingekuwa na tatizo lolote lile. Hawakutaka kujiuliza sana kuhusu mabegi madogo ambayo waliambiwa kwamba ni lazima waingie nayo nchini Marekani na kukutana na mtu ambaye aliwaambia kwamba wangekutana naye. Walimwamini Mustapha, kila mtu ambaye walikutanishwa naye, walimwamini kwa asilimia mia moja.

Safari ikaanza, ilikuwa ni ndefu na yenye kuchosha mno lakini hawakujali. Wiki ya kwanza ikakatika wakiwa majini, ya pili, ya tatu mpaka ya nne bado walikuwa njiani kuelekea nchini Marekani kwa kupitia katika Bahari ya Atlantiki. Baada ya kupita siku ishirini na nane, wakaingia katika Visiwa vya Puerto Rico ambapo walipokelewa kinyemela na Waarabu wengine na kupelekwa katika nyumba moja kubwa na kutulia huko.

Bado waliendelea kuwaona Waarabu kuwa watu wema, hawakujua mpango mzito waliokuwa nao watu hao, hawakujua kama walikuwa wakienda kutolewa mhanga pasipo wao kujua. Hapo Puerto Rico walikaa kwa siku mbili kisha kuondoka na kuelekea nchin Cuba ambapo hapo wakakutana na Waarabu wengine waliowaunganisha kwa baadhi ya wanajeshi na kuambiwa lengo la watu hao kufika hapo.

Kutokana na uadui mkubwa baina ya Marekani na Cuba, mipango ikaanza kusukwa upya, ilikuwa ni lazima Marekani ilipuliwe kwa mara nyingine tena na watu hao ndiyo waliowafanyia mpango Fareed na wenzake kuingia nchini Marekani kinyemela kabisa, njia walizokuwa wakitumia Wacuba hasa wauza unga na kutulia jijini New York. Siku ambayo ndiyo ingekuwa siku ya tukio, vijana wa Mustapha ambao ndiyo wangeyaseti mabomu hayo tayari walifika katika kituo hicho kwa ajili ya kuwasubiri vijana waliokuwa na mabomu kwa ajili ya kuyalipua pasipo wao wenyewe kugundua kitu chochote kile.

Wakati hayo yote yakiendelea, Fareed alikuwa katika chumba kimoja na vijana wenzake, walikuwa wamejiandaa kwa ajili ya kwenda kulipua kituo hicho cha treni pasipo kujua kama ndani ya mabegi hayo kuliwa na mabomu.

Baada ya kupewa kiasi fulani kama kuwalaghai kwamba sasa wangekwenda huko na kuanza maisha yao, wakaelekea nje ambapo wakapanda gari na Mustapha na kwenda katika kituo hicho. Hakukuwa mbali sana, hawakutumia muda mrefu wakafika ambapo moja kwa moja wakaingia ndani.

Hakukuwa na mtu aliyejua kitu chochote kile, kila aliyekuwa akiwaangalia, alijua kwamba watu hao walikuwa abiria kama wengine. Walijichanganya na watu wengine na wao kusubiri treni ambayo ingefika mahali hapo muda si mrefu. Bango kubwa lililokuwa mahali hapo lilikuwa likionyesha dakika zilizokuwa zimebaki kabla ya treni hiyo kufika katika kituo hicho.

Watu walijikusanya, bango hilo lilionyesha kwamba ziliokuwa zimebaki dakika tano tu kabla ya treni hiyo kuchukua abiria kwenye kituo hicho na kuondoka.

Kila mmoja macho yake yalikuwa yakiangalia saa yake, kwa Fareed, alikosa amani, wenzake walikuwa wakifurahi kwamba hatimaye maisha yao yangeanza nchini Marekani lakini kwake, kila dakika zilipokuwa zikienda mbele ndivyo alivyokuwa na hofu zaidi. Kwa nini hawakuturuhusu tufungue ili tuangalie?

Kama kuna kitu kizuri, hivi kweli wasingependa tujue? Muda huo Mustapha alikuwa pembeni yao, macho yake yalikuwa katika saa aliyokuwa ameivaa. Huku zikiwa zimebaki dakika tatu hata kabla ya treni kufika, Mwarabu mmoja akafika mahali hapo na kusimama pembeni ya Mustapha na kuanza kuzungumza naye. Fareed alisikika lakini hakufahamu watu hao walikuwa wakizungumzia mambo gani.

Mwanaume huyo aliyekuwa akizungumza na Fareed alikuwa na kifaa kama rimoti mkononi mwake, hakujua kazi ya hicho ila kwa jinsi kilivyoonekana, alijua kwamba hakikuwa kitu kizuri. I think this is our last time to meet each other! Nafikiri huu ndiyo mara ya mwisho kuonana sisi nanyi! Muwe na safari njema alisema Mustapha huku akiwaangalia wanaume hao. Fareed na wenzake wakabaki kituoni hapo wakiwa na mabegi yale yaliyokuwa na mabomu.

Bado kichwa chake kilikuwa na mawazo tele, alikuwa na maswali mfululizo juu ya kile kilichokuwa ndani ya mabegi yale. Hakutaka kuridhika, akawaaga wenzake kwamba anakwenda chooni kujisaidia na angarudi muda si mrefu.

Akaondoka harakaharaka, alipofika chooni, kitu cha kwanza kilikuwa ni kuliweka chini lile begi, zipu zilifungwa kwa kufuli ndogo alichokifanya ni kulichana, ndani, akakutana na mfuko mweusi na alipoufungua, macho yake yakatua katika bomu moja kubwa lililokuwa likiwaka kitaa chekundu.

Moyo wake aliona kwamba alifanikiwa katika kile walichokuwa wamekipanga kwamba mabomu yalifika salama nchini Marekani na muda huo yalikuwa kituoni.

Wakalifuata gari lao na kutulia humo. Mudda wote macho yao yalikuwa katika saa zao huku masikio yao yakisikiliza kwa makini kile kilichokuwa kikiendelea katika kituo kile. Kama treni ingekuwa inaingia kituoni hapo, kusingekuwa na ugumu wa kujua hilo, wangesikia mlio wake na hivyo kukaa kwa sekunde chache, litakaposimama tu waweze kulipua bomu hilo.

Walisubiri kwa dakika tatu tu wakasikia treni likiwa linaingia, hawakutaka kuwa na presha kubwa, walisubiri mpaka waliposikia limesimama na abiria kuanza kuteremka. Mwanaume aliyekuwa na Mustapha akachukua kirimoti kile kwa lengo la kulipua mabomu yale. Aliingiza kiasi kikubwa cha fedha na kila siku katika maisha yake aliendelea kuogelea kwenye dimbi kubwa la utajiri.

Alipendwa kutokana na sura nzuri aliyokuwa nayo, alipendwa kutokana na utajiri mkubwa aliokuwa nao. Kila siku kazi yake ilikuwa ni kubadilisha wanawake, alikuwa akienda kununua wanawake barabarani na kwenda kufanya nao mapenzi.

Aliyazoea maisha hayo, hakutaka kutulia nyumbani, alikuwa mtu wa safari, kusafiri kuelekea Ufaransa, Uholanzi, Italia, kila alipokuwa ilikuwa ni lazima kulala na wanawake kitu ambacho alipenda kufanya katika maisha yake. Hakumfikiria mtu aliyeitwa Fareed, kwake, alijua kabisa mtu huyo hakuwepo katika uso wa dunia, alikumbuka jinsi alivyowatuma watu na kwenda kumtupa baharini, tena hakutupwa huku wakiwa watu hao, alitupwa huku akishuhudia kitu kilichompa uhakika kwamba mtu huyo alikuwa chakula cha samaki mpaka muda huo.

Baada ya kupata sana pesa, hatimaye yeye kama bilionea alitakiwa kukutana na mabiliona wenzake nchini Ufaransa kwa ajili ya kujadili biashara zao, huo ulikuwa mkutano mkubwa ambao kwa bilionea kama yeye ilikuwa ni lazima kushiriki na kuangalia ni kwa namna gani wangeweza kufanikiwa zaidi katika biashara zao na kuweka ubia na mabilionea wa Kiarabu kwa ajili ya kupanua soko lao.

Kikao kikafanyika nchini humo, kilikuwa kizito, kikubwa ambacho kilitangazwa na vyombo mbalimbali vya habari. Kikao hicho kilitakiwa kuchukua wiki moja kwani kulikuwa na mada nyingi, na kwenye kila mada ilikuwa ni kuwapendelea wao na si watu masikini ambao waliwafanya kuwa hapo. Kwa sababu machangudoa walijua kwamba mabilionea walikuwa wateja wao wakubwa, wakawa wanakusanyika nje ya Hoteli ya King Napoleon II kwa ajili ya kuwanunua na kwenda kulala nao.

Kama ilivyokuwa kwa mabilionea wengi, kila siku ilikuwa ni lazima kwa Bilionea Belleck kuchukua changudoa na kuondoka naye kulala naye usiku mzima.

Alikuwa na pesa, alikuwa na kila kitu alichokuwa akikihitaji katika maisha yake, hakuona kama kulikuwa na ugumu wa kulala na mwanamke yeyote aliyekuwa akimuhitaji katika kipindi hicho.

Gharama zako zipo vipi? Akamchukua msichana huyo na kuondoka zake. Hakuna ujanja wo KATIKA ulimwengu wa mapenzi, baadhi ya wanaume hujikuta katika wakati mgumu, kutokana na kushindwa kuwashawishi wanawake hata wakawapat Kuwa katika relationship ni ngumu na pia ni rahisi.

Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini baada ya siku mbili tat Hatua 5 za kufanya kama mwanamke hapokei simu zako wala kujibu sms. Unafukuzia mwanamke mzuri mnaanza kuzungumza. Mnachukua muda wa dakika 20 hadi 30 kuongea na yeye mara ya kwanza. Anapendeza na kuvutia Je unamjua mwananamke mwenye kiu? Hawakupoteza muda safari ikaanza kuondoka hapo Uturuki kwenda nchini Marekani.

Kwa usafiri wa meli hiyo, wangetumia mwezi mmoja njiani mpaka kufika huko. Hawakuwa na jinsi, hakukuwa na uwezekano wa kuwahi huko, ilikuwa ni lazima watumie mwezi mzima mpaka kufika nchini humo.

Hawakuwa na hofu, walichojua ni kwamba walikuwa katika mikono salama na kusingekuwa na tatizo lolote lile. Hawakutaka kujiuliza sana kuhusu mabegi madogo ambayo waliambiwa kwamba ni lazima waingie nayo nchini Marekani na kukutana na mtu ambaye aliwaambia kwamba wangekutana naye.

Walimwamini Mustapha, kila mtu ambaye walikutanishwa naye, walimwamini kwa asilimia mia moja. Safari ikaanza, ilikuwa ni ndefu na yenye kuchosha mno lakini hawakujali. Wiki ya kwanza ikakatika wakiwa majini, ya pili, ya tatu mpaka ya nne bado walikuwa njiani kuelekea nchini Marekani kwa kupitia katika Bahari ya Atlantiki. Baada ya kupita siku ishirini na nane, wakaingia katika Visiwa vya Puerto Rico ambapo walipokelewa kinyemela na Waarabu wengine na kupelekwa katika nyumba moja kubwa na kutulia huko.

Bado waliendelea kuwaona Waarabu kuwa watu wema, hawakujua mpango mzito waliokuwa nao watu hao, hawakujua kama walikuwa wakienda kutolewa mhanga pasipo wao kujua. Hapo Puerto Rico walikaa kwa siku mbili kisha kuondoka na kuelekea nchin Cuba ambapo hapo wakakutana na Waarabu wengine waliowaunganisha kwa baadhi ya wanajeshi na kuambiwa lengo la watu hao kufika hapo. Kutokana na uadui mkubwa baina ya Marekani na Cuba, mipango ikaanza kusukwa upya, ilikuwa ni lazima Marekani ilipuliwe kwa mara nyingine tena na watu hao ndiyo waliowafanyia mpango Fareed na wenzake kuingia nchini Marekani kinyemela kabisa, njia walizokuwa wakitumia Wacuba hasa wauza unga na kutulia jijini New York.

Siku ambayo ndiyo ingekuwa siku ya tukio, vijana wa Mustapha ambao ndiyo wangeyaseti mabomu hayo tayari walifika katika kituo hicho kwa ajili ya kuwasubiri vijana waliokuwa na mabomu kwa ajili ya kuyalipua pasipo wao wenyewe kugundua kitu chochote kile.

Wakati hayo yote yakiendelea, Fareed alikuwa katika chumba kimoja na vijana wenzake, walikuwa wamejiandaa kwa ajili ya kwenda kulipua kituo hicho cha treni pasipo kujua kama ndani ya mabegi hayo kuliwa na mabomu.

Baada ya kupewa kiasi fulani kama kuwalaghai kwamba sasa wangekwenda huko na kuanza maisha yao, wakaelekea nje ambapo wakapanda gari na Mustapha na kwenda katika kituo hicho. Hakukuwa mbali sana, hawakutumia muda mrefu wakafika ambapo moja kwa moja wakaingia ndani. Hakukuwa na mtu aliyejua kitu chochote kile, kila aliyekuwa akiwaangalia, alijua kwamba watu hao walikuwa abiria kama wengine. Walijichanganya na watu wengine na wao kusubiri treni ambayo ingefika mahali hapo muda si mrefu.

Bango kubwa lililokuwa mahali hapo lilikuwa likionyesha dakika zilizokuwa zimebaki kabla ya treni hiyo kufika katika kituo hicho. Watu walijikusanya, bango hilo lilionyesha kwamba ziliokuwa zimebaki dakika tano tu kabla ya treni hiyo kuchukua abiria kwenye kituo hicho na kuondoka. Kila mmoja macho yake yalikuwa yakiangalia saa yake, kwa Fareed, alikosa amani, wenzake walikuwa wakifurahi kwamba hatimaye maisha yao yangeanza nchini Marekani lakini kwake, kila dakika zilipokuwa zikienda mbele ndivyo alivyokuwa na hofu zaidi.

Kwa nini hawakuturuhusu tufungue ili tuangalie? Kama kuna kitu kizuri, hivi kweli wasingependa tujue? Muda huo Mustapha alikuwa pembeni yao, macho yake yalikuwa katika saa aliyokuwa ameivaa. Huku zikiwa zimebaki dakika tatu hata kabla ya treni kufika, Mwarabu mmoja akafika mahali hapo na kusimama pembeni ya Mustapha na kuanza kuzungumza naye. Fareed alisikika lakini hakufahamu watu hao walikuwa wakizungumzia mambo gani. Mwanaume huyo aliyekuwa akizungumza na Fareed alikuwa na kifaa kama rimoti mkononi mwake, hakujua kazi ya hicho ila kwa jinsi kilivyoonekana, alijua kwamba hakikuwa kitu kizuri.

I think this is our last time to meet each other! Nafikiri huu ndiyo mara ya mwisho kuonana sisi nanyi! Muwe na safari njema alisema Mustapha huku akiwaangalia wanaume hao. Fareed na wenzake wakabaki kituoni hapo wakiwa na mabegi yale yaliyokuwa na mabomu. Bado kichwa chake kilikuwa na mawazo tele, alikuwa na maswali mfululizo juu ya kile kilichokuwa ndani ya mabegi yale. Hakutaka kuridhika, akawaaga wenzake kwamba anakwenda chooni kujisaidia na angarudi muda si mrefu.

Akaondoka harakaharaka, alipofika chooni, kitu cha kwanza kilikuwa ni kuliweka chini lile begi, zipu zilifungwa kwa kufuli ndogo alichokifanya ni kulichana, ndani, akakutana na mfuko mweusi na alipoufungua, macho yake yakatua katika bomu moja kubwa lililokuwa likiwaka kitaa chekundu. Moyo wake aliona kwamba alifanikiwa katika kile walichokuwa wamekipanga kwamba mabomu yalifika salama nchini Marekani na muda huo yalikuwa kituoni.

Wakalifuata gari lao na kutulia humo. Mudda wote macho yao yalikuwa katika saa zao huku masikio yao yakisikiliza kwa makini kile kilichokuwa kikiendelea katika kituo kile. Kama treni ingekuwa inaingia kituoni hapo, kusingekuwa na ugumu wa kujua hilo, wangesikia mlio wake na hivyo kukaa kwa sekunde chache, litakaposimama tu waweze kulipua bomu hilo. Walisubiri kwa dakika tatu tu wakasikia treni likiwa linaingia, hawakutaka kuwa na presha kubwa, walisubiri mpaka waliposikia limesimama na abiria kuanza kuteremka.

Mwanaume aliyekuwa na Mustapha akachukua kirimoti kile kwa lengo la kulipua mabomu yale. Aliingiza kiasi kikubwa cha fedha na kila siku katika maisha yake aliendelea kuogelea kwenye dimbi kubwa la utajiri. Alipendwa kutokana na sura nzuri aliyokuwa nayo, alipendwa kutokana na utajiri mkubwa aliokuwa nao.

Kila siku kazi yake ilikuwa ni kubadilisha wanawake, alikuwa akienda kununua wanawake barabarani na kwenda kufanya nao mapenzi. Aliyazoea maisha hayo, hakutaka kutulia nyumbani, alikuwa mtu wa safari, kusafiri kuelekea Ufaransa, Uholanzi, Italia, kila alipokuwa ilikuwa ni lazima kulala na wanawake kitu ambacho alipenda kufanya katika maisha yake. Hakumfikiria mtu aliyeitwa Fareed, kwake, alijua kabisa mtu huyo hakuwepo katika uso wa dunia, alikumbuka jinsi alivyowatuma watu na kwenda kumtupa baharini, tena hakutupwa huku wakiwa watu hao, alitupwa huku akishuhudia kitu kilichompa uhakika kwamba mtu huyo alikuwa chakula cha samaki mpaka muda huo.

Baada ya kupata sana pesa, hatimaye yeye kama bilionea alitakiwa kukutana na mabiliona wenzake nchini Ufaransa kwa ajili ya kujadili biashara zao, huo ulikuwa mkutano mkubwa ambao kwa bilionea kama yeye ilikuwa ni lazima kushiriki na kuangalia ni kwa namna gani wangeweza kufanikiwa zaidi katika biashara zao na kuweka ubia na mabilionea wa Kiarabu kwa ajili ya kupanua soko lao.

Kikao kikafanyika nchini humo, kilikuwa kizito, kikubwa ambacho kilitangazwa na vyombo mbalimbali vya habari. Kikao hicho kilitakiwa kuchukua wiki moja kwani kulikuwa na mada nyingi, na kwenye kila mada ilikuwa ni kuwapendelea wao na si watu masikini ambao waliwafanya kuwa hapo.

Kwa sababu machangudoa walijua kwamba mabilionea walikuwa wateja wao wakubwa, wakawa wanakusanyika nje ya Hoteli ya King Napoleon II kwa ajili ya kuwanunua na kwenda kulala nao.

Kama ilivyokuwa kwa mabilionea wengi, kila siku ilikuwa ni lazima kwa Bilionea Belleck kuchukua changudoa na kuondoka naye kulala naye usiku mzima. Alikuwa na pesa, alikuwa na kila kitu alichokuwa akikihitaji katika maisha yake, hakuona kama kulikuwa na ugumu wa kulala na mwanamke yeyote aliyekuwa akimuhitaji katika kipindi hicho. Gharama zako zipo vipi? Akamchukua msichana huyo na kuondoka zake. Hakutaka kuwa na wapambe, alitaka kufanya kila kitu peke yake, aliamini kwamba kama angekuwa na wapambe mambo yangevuja na hatimaye kujulikana kama alikuwa akinunua machangudoa kitu ambacho hakutaka kabisa kijulikane kwa kuogopa kumuumiza mkewe.

Machangudoa wengi walipenda kununuliwa na mzee huyo kwa sababu alikuwa na uhuru wa kukwambia wewe mwenyewe upange bei. Walipokuwa wakiliona gari lake, walilikimbilia na kujipanga mstari na hivyo kuchagua ni yupi alitakiwa kulala naye usiku wa siku hiyo. Baada ya wiki moja kumalizika na mkutano huo kuisha, hakutaka kuondoka nchini Ufaransa, alitaka kuendelea kubaki mahali hapo kwani kulimteka, wanawake wazuri waliokuwa katika Jiji la Paris walimdatisha kichwa chake na hivyo kutamani kuendelea kukaa zaidi.

Akaliacha begi palepale chini na kisha kukimbia kutoka chooni hapo, hakutaka kubaki ndani ya kituo hicho kwani aliamini kwamba endapo angebaki basi naye pia angeweza kufa. Kila mtu alibaki akimshangaa, wengine walihisi kwamba alikuwa mwizi, kwamba aliiba na hivyo kukimbia. Sehemu ambayo ilikuwa ikijifungua kwa kichuma kwenda juu baada ya kuweka tiketi, hakutaka hata ijifungue, akaruka kwa juu na kuelekea nje.

Wakati anafika nje ya kituo hicho kwa kupitia mlango mwingine, mabomu yakasikika yakilipuka na nguvu yake ilikuwa kubwa kiasi kwamba mpaka wao waliokuwa nje ya kituo kile wakarushwa akiwepo yeye mwenyewe. Akaangukia katika gari moja lililokuwa limepaki pembeni, watu wengine waliokuwa hapo walikuwa hoi, wengine walikuwa wakiteketa kwa moto, pale alipoangukia ambapo kulikuwa ni kama hatua kumi kutoka pale alipokuwa amefikia, Fareed alikuwa hoi, kichwa chake kilikuwa kikitoka damu, alisikia maumivu makubwa mwilini mwake.

Akajitahidi kusimama, akashindwa, akabaki hapohapo akiwa amelala huku macho yake yakiwa mazito kabisa. Akajitahidi kuuinua mkono wake, akashindwa, kila kitu alichotaka kukifanya mahali hapo alishindwa kabisa. Kwa kutumia uangaliaji wake wa kwa mbali, akawaona watu wakikimbia huku wakipiga kelele za kuomba msaada, baada ya sekunde ishirini tu akiwa hapo, giza kubwa likayafumba macho yake na baada ya sekunde hizo, akapoteza fahamu na hakujua kitu gani kiliendelea.

Kila mtu alishangaa kwani kwa jinsi nchi hiyo ilivyokuwa imejiwekea ulinzi tangu kulipuliwa kwa maghorofa ya biashara ya WTC, hakukuwa na aliyeamini kwamba kweli magaidi wangeweza kuilipua nchi hiyo kwa mara nyingine. Watu zaidi ya elfu moja mia tano wakasadikiwa kufa katika tuki hilo huku maelfu wakijeruhiwa vibaya. Ndani ya dakika chache tangu tukio hilo litokee, magari ya zimamoto yakafika mahali hapo yakiongozana na magari kadhaa ya wagonjwa.

Mambo yote hayo yalikuwa yakiendelea huku Fareed akiwa chini, hakujitambua, pale alipokuwa, kwa jinsi alivyokuwa amerushwa, ilikuwa vigumu kuamini kama mtu huyo alikuwa mzima. Yeye na majeruhi wengine wakachukuliwa na kukimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu huku nyuma waandishi wa habri wakiendelea kukusanyika katika eneo hilo la tukio kwa ajili ya kuripoti kila kitu kilichokuwa kikiendelea.

Gari halikuchukua muda mrefu likafika katika Hospitali ya St. Joseph Medical Centre iliyokuwa hapohapo Pennsylvania ambapo mara baada ya magari kuingizwa ndani, machela zikaletwa, majeruhi wakapandishwa kwenye machela hizo kisha kupelekwa ndani.

Hiyo ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa Fareed kukaa ndani ya hospitali hiyo. Matibabu yalikuwa yakiendelea kama kawaida. Baada ya saa kumi na mbili, akarudiwa na fahamu, akayafumbua macho yake na kuanza kuangalia huku na kule. Mbali na yeye, ndani ya wodi ile kulikuwa na wagonjwa wengine ambao hawakuonekana kuwa na nafuu kama alivyokuwa. Huo haukuwa mwisho wa safari yake, ilikuwa ni lazima aondoke mahali hapo, alitaka kwenda sehemu kwa ajili ya kukaa kisha kumtafuta Bilionea Belleck ambaye aliamini kwamba bado alikuwa hapohapo Marekani.

Kuondoka mahali hapo haikuwa kazi nyepesi, mara kwa mara madaktari na manesi walikuwa wakifika kwa ajili ya kuangalia maendeleo yao. Hakutaka kabisa kuendelea kubaki kwani bado maisha yake aliyaona kuwa na hatari kubwa. Kwa kuwa kulikuwa na ugumu wa kufanya hivyo, kitu chepesi alichokifanya ni kusubiri mpaka usiku ambapo akaomba nafasi ya kwenda chooni kwa lengo la kufika huko na kukimbia zake.

Akasimama na kutembea kwa mwendo wa taratibu, mwendo ulioonyesha kwamba hakuwa mzima kiafya, alipofika chooni, akajisaidia haja ndogo na kuangalia ni kwa namna gani angeweza kutoroka hospitali hapo pasipo kuonekana. Shirika la kipelelezi la FBI lilikuwa kwenye wakati mgumu, hawakujua ni kwa jinsi gani wangeweza kuwapata wahusika wakuu wa tukio hilo ingawa Al Qaida walijitokeza hadharani na kusema kwamba wao walihusika kwa kila kitu.

Walichokuwa wakikihitaji FBI ni picha zilizokuwa zimepigwa dakika kadhaa kabla ya tukio kutokea. Ilikuwa ni lazima waangalie kwenye kamera za CCTV kuona kila kitu kilichokuwa kimetokea humo. Wakaelekea katika chumba kilichokuwa na kompyuta nyingi, zilikuwa zimeunguzwa vibaya lakini walichoshukuru Mungu ni kwamba memory cards zote ambazo zilikuwa zimechukua picha kutoka ndani ya kituo hicho kabla ya tukio la kmlipuko kutokea, zilikuwa salama kabisa. Wakazichukua na kuelekea katika kompyuta zao na kuangalia kuona kama wangeweza kuwaona wahusika wa mlipuko ule.

Walifanikiwa kumuona Fareed na wenzake, waliwahisi kwamba hawakuwa na nia nzuri kutokana na mabegi ya kufanana waliyokuwa nayo. Baada ya dakika kadhaa, wakamuona Fareed akiondoka. Kwa kutumia kamera mbalimbali waliweza kumfuatilia Fareed aliyekuwa akikimbia, alipofika chooni, akaingia na kisha kutoka na kuendelea kukimbia.

Wakahisi kwamba huyo ndiye aliyekuwa amehusika na mlipuko ule, wakaendelea kumfuatilia mpaka nje, kituo kikalipuka, na yeye mwenyewe akarushwa na kujipigiza katika gari moja. Wakawapa wenzao taarifa juu ya kile kilichokuwa kimetokea, hawakuishia kuwataarifu bali wakawatumia na picha za mwanaume huyo na kwamba walikuwa njiani kwenda kumkamata.

Kwa kuwa mahali hapo hakukuwa mbali na hospitali, ndani ya dakika kumi wakafika na moja kwa moja kuingia ndani. Kulikuwa na idadi kubwa ya watu, wengi waliokuwa mahali hapo walifika kwa ajili ya kuwaona ndegu zao waliokuwa hoi. Wakazungumza na madaktari na kumuonyeshea picha ya Fareed, kwa kuwa daktari huyo alikuwa akiwakumbuka watu aliokuwa amewapokea, hakukuwa na ugumu kugundua kwamba picha ya mtu aliyekuwa ameonyeshewa alikufikishwa ndani ya hospitali hiyo saa moja iliyopita.

Daktari yule akawapeleka mpaka katika wodi aliyolazwa Fareed ambapo akawakabidhi watu hao kwa nesi aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa waliokuwa katika wodi hiyo. Alipoonyeshewa picha ya Fareed, alimgundua kwani alikuwa miongoni mwa wagonjwa waliokuwepo humo ndani. Nesi yule akawachukua mpaka katika kitanda alicholazwa Fareed, walipofika, mwanaume huyo hakuwepo na alipomuuliza nesi mwenzake akamwambia kwamba Fareed alikuwa amekwenda chooni.

Nesi alishindwa kuelewa kwamba ilikuwaje Fareed asiwe humo na wakati alimuona akielekea chooni na hakuwa na uhakika kama mwanaume huyo alikuwa ametoka. FBI hawakutaka kuridhika, walijua kwamba mwanaume huyo alikuwa ndani ya vyoo hivyo, wakaendelea kumtafuta kwenye kila choo lakini hawakuweza kumuona. Hawakutaka kukata tamaa, waliamini kwamba kama mwanaume huyo hakuwa chooni humo basi atakuwa ametoka, na kama ni kipindi kifupi kilichopita waliamini kwamba hakuwa mbali kutoka mahali hapo.

Wakaelekea sehemu zingine ndani ya hospitali hiyo lakini hawakuweza kumuona Fareed, wakaelekea mpaka nje kabisa lakini kila kona waliyoangalia, mwanaume huyo hakuonekana machoni mwao. Alikwenda chooni alijibu nesi. Hakutaka kubaki humo, ilikuwa ni lazima kuondoka kuelekea popote pale lakini si kuona akikamatwa kwa kufanya jambo ambalo alilazimishwa kulifanya pasipo kujua kama lilikuwa kosa lolote lile. Akaondoka na kuelekea nje ya choo kile, hakutaka kuonekana, aliondoka mpaka kufika nje huku akikutana na madaktari wengi ambao hawakumuuliza kitu chochote zaidi ya kumuacha tu.

Alijipekua mfukoni, alikuwa na kadi yake ya benki ambayo ilimuwezesha kuchukua kiasi chochote cha pesa sehemu yoyote ile. Akaelekea mpaka katikakibanda cha ATM na kutoa kiasi cha dola mia tano na kuondoka zake. Safari yake iliishia katika hoteli ya kawaida ya Windows iliyokuwa hapohapo Pennyslvania, akachukua chumba ambacho alitakiwa kulipa dola mia mbili hamsini, zaidi ya laki tano kwa usiku mmoja tu.

Hilo halikuwa na tatizo, alikuwa na kiasi kikubwa cha fedha ambacho angeweza kufanya jambo lolote lile, hivyo akaelekea katika chumba hicho. Hakulala, alibaki akifikiria namna alivyonusurika kuuawa kwa kulipukiwa na bomu.

Moyo wake ukawa na ghadhabu, akawa na hasira na Waarabu kwani aliamini kwamba watu hao hawakuangalia utu, hawakujua ni watu wangapi waliwakosea, katika kuua, waliua kila mtu hata kama hawakuwa na hatia kama alivyokuwa. Hakutaka kuwafikiria sana Waarabu, alichokitaka ni kusonga mbele na kutekeleza kile alichokuwa akikitaka.

Aliingia nchini MArekani kwa lengo la kumuua Bilionea Belleck ambaye aliamini kwamba alikuwa nchini humo. Akaanza kufuatilia, alikuwa na marafiki wachache nchini humo ambao wangekuwa na data zote kuhusu bilionea huyo na kwa jinsi gani angeweza kumpata. Kwa kuwa bilionea Belleck alikuwa na maadui wengi akiwemo bilionea mwenzake, Peter Williams, alichokifanya ni kumpigia simu. Sina uhakika! Wewe nani? Yule wa mpumbavu? Akamwambia mwanaume huyo kwamba walitakiwa kuonana na hivyo kama hatojali basi aende kuzungumza naye kitu ambacho kwa bilionea huyo hakukuwa na tatizo lolote lile.

Ndani ya saa moja tayari Bilionea William alikuwa mbele ya Fareed. Alimwangalia kwa umakini sana, alionekana kuwa mtu tofauti kabisa, hakuwa kama kipindi kilichopita, mwanaume mwenye muonekano wa kike, kwa kipindi hicho alikuwa mwanaume shupavu, mwenye mwili uliojazia.

Williams alibaki akimkodolea macho, hakuamini kama mwanaume aliyesimama mbele yake ndiye mwanaume yule aliyefahamiana naye kitambo. Fareed akamwambia bilionea huyo kile kilichomleta Marekani, hakuja kula starehe bali alitaka kufanya kazi moja, kumuua Bilionea Belleck. Williams akafurahia, chuki aliyokuwa nayo kwa Belleck ilikuwa kubwa kiasi kwamba kwa kitendo cha kuambiwa kwamba mwanaume huyo alikuwa tayari kumuua halikuwa tatizo kabisa. Utanisaidiaje kufika?



0コメント

  • 1000 / 1000